Singer Rayvanny writes touching appreciation letter to boss Diamond Platnumz

Written by on September 20, 2018

Diamond Platnumz isn’t just a boss to singer Rayvanny but also a mentor. Platnumz took the budding singer under his wings and transformed him into a star.

He singed Rayvanny to Wasafi Records in 2015 and his world totally changed since then. Rayvanny recently penned a letter thanking Diamond for the support and mentorship.

He wrote:

Kuna Vitu Pengine Unaweza Ukawa Unapatia Au Vingine Unakosea Sitaki Kuongelea Hilo Sababu we nawe Ni Binadamu. ILA KWENYE KUSEMA UKWELI NITASEMA!!!! Si kwa Sababu wewe Ni boss Wangu Hapana!!! Ila Mara Nyingi Thamani Ya mtu Na Umuhimu Wa Mtu wengi Wanaujua Akishaondoka…. MZIKI NI KAZI NA NI AJIRA Namaanisha Kuna Familia Nyingi Zinaishi kupitia Huu huu mziki. DIAMOND KATIKA WASANII WOOOTE Umekua chachu Ya Kuongeza Thamani Ya Muziki Nakupitia wewe naamini Wengi Wanafanikiwa….

“KUJITOA KWAKO, KUAMINI KATIKA UMOJA NA PIA KUTHUBUTU Ndiko kunafanya Unafanikiwa…. USHAAMBIWA HUJUI KUIMBA ila ukaimba ukafanikiwa… USHAAMBIWA UNAVIMBA UNAIGIZA MAISHA Lakini sasa Unayaishi hayo Maisha… Hakuna Anaefanikiwa Akakosa maadui ndivyo Dunia Ilivyo .. MIMI ULINISAIDIA ULIJUA SHIDA ZANGU Naamini Mungu Alikutumia wewe Ukawe Mkombozi Wangu ……. KWAIO KUMBUKA ( ILI MBEGU IOTE LAZIMA IOZE ) SINA MUDA KUMSEMA MTU ILA NAKUPA MOYO FANYA KAZI SIMBA.”


Current track

Title

Artist

Background